Documente Academic
Documente Profesional
Documente Cultură
KLM Tickets to Tanzania Frequent return flights with KLM Check our special offers & deals! www.klm.com/USA/Tanzania
University of Phoenix® Accredited Bachelor’s, Master's and Doctoral Degree Programs. Get Info. Phoenix.edu
K 12 Education Jobs Take steps in becoming a teacher. Find schools offering K-12 degrees! MyEduSeek.com
Thu 10 Feb 2:43AM
Tafuta... Mwanzo Habari Biashara Michezo Burudani Ajira Uchambuzi Jumapili Makala Picha Tangaza RSS
Home Biashara Biashara za Kitaifa Serikali yakubali kulipa 94 bilioni Dowans BOOKMA RK THIS PA GE
Aidha Ngeleja aliwataja wamiliki wa Dowans Tanzania Ltd, na hisa wanazomiliki katika mabano kuwa ni Dowans
Holding S.Aya Costa Rica (81) na Portek Systems and Equipment (PTE) LTd (54). Sakata la Dowans, nani alaumiwe ?
Rais Jakaya Kikwete
Aidha Waziri Ngeleja huku akirejea barua ya Wakala wa Usajili wa Kampuni (Brella), aliwataja wakurugenzi na nchi Baraza la mawaziri
wanazotoka kuwa ni Andrew James Tice (Canada) na Gopalakrishnan Balachandaran (India). Wabunge wa CCM
Wakurugenzi wengine kwa mujibu wa Waziri Ngeleja ni Hon Sung Woo (Singapore), Guy Picard (Canada), Sulaiman Wabunge wa upinzani
Al Adawi (Oman) na Stanley Munai (Kenya). Wanasheria na Mawakili
Shirika la Umeme (Tanesco).
Kiini cha sakata hilo kilianza mwaka 2006, wakati Tanesco ilipoingia mkataba wa mauziano ya umeme wa Tanesco
na kampuni ya Richmond Developmen LLC. Vote Results
Miezi sita baadaye mkataba huo ulihamishiwa kwa kampuni ya Dowans Holdings ya nchini Costa Rica na baadaye
kwa Dowans Tanzania Ltd,
Wakati wa utekelezaji wa mkataba huo, ilizuka hoja kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wabunge kwamba
mkataba baina ya Tanesco na Richmond haukuwa halali kisheria hivyo usingeweza kurithiwa na Dowans.
Suala hilo lilizua mjadala mkubwa hali ambayo Tanesco kwa kuwatumia mawakili wa kampuni ya RexAttorneys ya
jijini Dar es Salaam walivunja mkataba huo.
Baada ya kuvunjwa kwa mkataba huo, ndipo kampuni hiyo ikalipeleka suala hilo ICC kama walivyokubaliana na
Tanesco kwenye mkataba.
Uamuzi huo wa ICC ulizua mjadala katika siku za hivi karibuni baada ya viongozi wa serikali kutofautiana kuhusu
kuilipa kampuni hiyo au kutoilipa.
Wakati Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Samwel Sitta, akiitaka serikali kutolipa Dowans kwa kuwa kufanya hivyo
ni uhujumu wa nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema akitaka kampuni hiyo ilipwe.
Comments
converted by Web2PDFConvert.com
Hakika ujasusi huu unaofanywa na serikali ya CCM kutaka haraka haraka kuwalipa Dowans, mbeleni
utawatokea puani kwa vile Watanzania tunataka kuirudisha nchi mikononi mwetu badala ya mafisadi
wachache. Machozi ya maskini wa nchi hii ni juu ya CCM. Saa yaja kila mmoja wenu atatafuta pakukimbilia
asipaone.
Quote
Add comment
Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza
kabla hayajarushwa hewani!!!!!!
Name (required)
converted by Web2PDFConvert.com
7000 sym bols left
Refresh
Send
JComments
Home Habari Biashara Michezo Uchambuzi Makala Kazi Advertise with Us About Tanzania Picha Privacy Policy Help Terms Contact
Us Links
© 2007 - 2010 Mwananchi. All Rights Reserved. Aproduct of Mwananchi Communications Ltd.
converted by Web2PDFConvert.com